Soko la Tabata lakabiliwa na ubovu wa miundombinu picha ya soko la Tabata Muslim Wafanyabiashara wa soko la Tabata Muslim wameiomba serikali kuwaboreshea miundombinu ya soko hilo ili waweze kufanya biashara vizuri hasa wakati wa mvua kutokana kuvuja kwa baadhi ya mabanda. Read more about Soko la Tabata lakabiliwa na ubovu wa miundombinu