Sirro asema Jeshi la Polisi halijihusishi na siasa
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, amewahimiza askari wa Jeshi hilo kutimiza wajibu wao kwa kuhakikisha wanatenda haki na kufuata taratibu zilizopo.