Kazumba asema Simba hatoki Sumbawanga

Timu ya Tanzania Prisons katika picha ya pamoja

Kocha msaidizi wa timu ya Tanzania Prisons Shaban Kazumba, ameapa kuwafunga Simba katika mechi ya ligi kuu ya Tanzania bara itakayochezwa tarehe 22/10/2020 katika uwanja cha Nelson Mandela Sumbawanga.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS