Wawili walipukiwa na kuunguzwa umeme mkoani Geita Mmoja wa majeruhi wa ajali hiyo ya umeme. Watu wawili ambao ni Kubingwa Charles (32) na Astigaz Belibwa (30), wamenusurika kifo kwa kuungua baada ya kulipukiwa na Shoti ya umeme, mkoani Geita. Read more about Wawili walipukiwa na kuunguzwa umeme mkoani Geita