Membe atoa msimamo wake kugombea urais

Mgombea urais wa Tanzania kupitia chama cha ACT- Wazalendo Bernard Membe.

Mgombea urais wa Tanzania kupitia chama cha ACT- Wazalendo Bernard Membe, amesema kuwa yeye bado ni mgombea urais halali wa chama hicho na atakipeleka katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 28, 2020.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS