Simba, Azam zatua Mbeya kwa kishindo

Kiungo wa klabu ya Simba, Jonas Mkude akionekana wa kwanza kushuka kwenye ndege baada ya kusasili jijini Mbeya.

Klabu za Simba na Azam zimewasili jijini Mbeya ikiwa ni katika matayarisho ya mechi zao ligi kuu Tanzania bara zitakazochezwa katikati ya wiki hii.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS