"Kawe inahitaji mtu jasiri" - Dkt. Magufuli
Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli amesema jimbo la kawe linahitaji mtu jasiri, mchapakazi, mwenye hofu ya mungu na mwenye kujali maslahi ya Watanzania.