Magufuli ampigia simu Dkt Mwinyi
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.John Magufuli, amewaomba wananchi wa Pemba kumchagua yeye na Dkt. Hussein Mwinyi, ili kwa pamoja wazitatue changamoto za maji, ajira na barabara zinazokikabili kisiwa hicho.