Safari ya Neymar na ndoto za Pele na Ronaldo Neymar Jr katika majukumu ya Taifa lake. Neymar Junior, alifunga magoli matatu katika ushindi wa 4-2 ulioupata Brazil, dhidi ya Peru katika muendelezo wa michezo ya kufuzu kucheza fainali za kombe la Dunia 2022. Read more about Safari ya Neymar na ndoto za Pele na Ronaldo