TMA yataja chanzo cha mvua Pwani ya Kaskazini Pichani mafuriko yaliyosababishwa na mvua jijini Dar es salaam Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini imetoa ufafanuzi juu ya uwepo wa vipindi vya mvua ambapo imesema zinatokana na mgandamizo mdogo wa hewa katika eneo la bahari ya hindi . Read more about TMA yataja chanzo cha mvua Pwani ya Kaskazini