"Tunataka mabilionea wa ndani" Rais Magufuli

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, amewataka  Watanzania kuacha kutegemea wafadhili badala yake wajikite katika uchumi wa biashara na uwekezaji.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS