Wanafunzi wafundishwa falsafa za Baba wa Taifa

Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere enzi za uhai wake.

Katika kuadhimisha miaka 21 ya kifo cha Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Nyerere Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni Jijini Dar es Salaam imefanya mafunzo maalum kwa wanafunzi zaidi ya mia sita ili kujifunza falsafa za Baba wa Taifa ikiwemo misingi ya haki na amani.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS