Wananchi waweka matuta ya udongo kuzuia ajali

Pichani tuta la udongo lililowekwa na wananchi kuzuia ajali.

Wananchi wa mtaa wa Mzambarauni na Machimbo huko Yombo wamelazimika kuweka matuta ya udongo katika barabara ya ndege kwa kile walichoeleza kwamba ni ajali za mara kwa mara ambazo zinasababisha vifo kwa watumiaji wa barabara.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS