TIGO yaja na Smart Kitochi Kushoto ni Meneja wa Bidhaa za Tigo Mkumbo Myonga, Kulia ni Meneja mawasiliano Tigo Woinde Shisaeli Kampuni ya simu za mkononi ya Tigo imezindua simu mpya aina ya Tecno smart Kitochi ambayo sasa itapatikana kwenye maduka yote ya Tigo. Read more about TIGO yaja na Smart Kitochi