Mashabiki wa Simba na Goza Chuma watikisa Bagamoyo

Kundi kongwe la Mashabiki wa timu ya Simba Sc, la “Ngurumo za Simba” linalojumuisha mashabiki wa timu hiyo kutoka matawi na maeneo tofauti, wamefanya sherehe ya kutimiza miaka mitano tangu kuanzishwa kwa kundi hilo, kwa kufanya utalii wa ndani wilayani Bagamoyo mkoani Pwani.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS