Kilichomfanya Rashid Juma aondoke Msimbazi
Mshambuliaji wa klabu ya Simba anayecheza kwa mkopo Polisi Tanzania, Rashid Juma, amesema yeye ndiye aliyeomba kuondoka mitaa ya msimbazi ili kusaka nafasi ya kucheza mara kwa mara na kuongeza kipaji chake.