JPM aeleza magumu anayopitia kwa kuitetea nchi
Mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dk. John Magufuli, amewakumbusha wananchi namna alivyopitia wakati mgumu katika kufanya maamuzi kwa maslahi ya taifa katika kipindi cha miaka yake mitano ya urais.