Lissu afika Nzega, atoa ahadi hizi

Mgombea urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu, akisalimiana na wananchi mkoani Tabora.

Mgombea urais kupitia tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),Tundu Lissu, amesema kama atapata ridhaa ya kuiongoza nchi atahakikisha anajenga nchi yenye uhuru ili wananchi waendeshe maisha yao bila kubugudhiwa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS