Koeman aweka wazi juu ya kilichomuondoa Suarez Kocha wa Barcelona, Ronald Koeman akiwa mazoezini na kikosi chake. Kocha wa klabu ya Barcelona, Ronald Koeman amesema kuwa Luis Suarez angeweza kukaa Barcelona kumthibitishia kuwa amekosea badala ya kuhamia Atletico Madrid. Read more about Koeman aweka wazi juu ya kilichomuondoa Suarez