"Sipaki rangi za bei rahisi,kuanzia laki 1"- Rhino
Baada ya kuzungumziwa sana kwa kupaka rangi kucha zake msanii Rhino King amezua jipya kwa kujibu kuhusu hilo ambapo amesema hapaki rangi za bei rahisi, gharama zake anazotumia yeye ni kuanzia shilingi laki 1.