Joachim Low aitaka nusu fainali Euro 2020

Joachim Low amekiongoza kikosi cha Ujerumani katika michezo 186 tangu mwaka 2006

Kocha wa timu ya taifa ya Ujerumani Joachim Low amesema kikosi chake lazima kifike hatua ya nusu fainali kwenye michuano ya Euro mwakani.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS