Yanga yaweka rekodi ya kipekee ligi kuu ya NBC
Klabu ya Yanga wamefanikiwa kuibuka mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania bara kwa msimu uliomalizika 2024/25 ikiwa ni mara ya nne mfululizo na mara ya 31 ikiwa ni mara nyingi zaidi katika Ligi kuu ya Nchini Tanzania wakifuatiwa na Klabu ya Simba walioshinda mara 22.