Kiongozi wa ACT ajisalimisha polisi, anahojiwa Dar
Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake wa Chama cha ACT Wazalendo Janeth Rithe, anaendelea kufanyiwa mahojiano usiku huu katika kituo cha polisi cha Central Dar es Salaam, baada ya kujisalimisha mapema hii leo Juni 20, 2025.