Mawaziri ulaya kuteta na Iran
Mawaziri wa Ulaya wanatarajiwa kukutana leo kuishawishi Iran irudi kwenye meza ya mazungumzo, Mawaziri hao wa Mambo ya nje watakutana na mwenzao wa Iran Abbas Araghchi mjini Geneva, Uswis leo Ijumaa, kwa matumaini ya kupunguza mvutano kati ya Iran na Israel.