Mwalimu akutwa na silaha ya kivita darasani Solomon Letato(30) mkazi wa Loliondo anashikiliwa na Jeshi la Polisi akihusishwa na matukio ya ujambazi baada ya kukutwa darasani na silaha ya AK-47 ikiwa na risasi 5 hapo jana. Read more about Mwalimu akutwa na silaha ya kivita darasani