RC Makonda atimiza ahadi yake kwa timu ya Yanga

C Makonda akiwakabidhi viongozi wa Yanga, hati ya Kiwanja.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda leo Juni 21 amekabidhi eneo lenye ukubwa wa hekari 7 pamoja na hati ya umiliki kwa klabu ya Yanga kwaajili ya ujenzi wa uwanja na matumizi mengine ikiwa ni ahadi aliyoitoa wakati wa hafla ya harambee ya uchangiaji wa timu hiyo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS