Zitto Kabwe aipongeza Serikali kwa hili Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe ameeleza kuwa miongoni mwa mambo yanayofanywa na Serikali ya awamu tano, ni Serikali hiyo kuwa na msimamo thabiti kwenye baadhi ya miradi ambayo imeamua kuitekeleza. Read more about Zitto Kabwe aipongeza Serikali kwa hili