Rihanna avunja rekodi Ikiwa yamepita masaa machache tu tangu msanii Jay Z atangazwe kuwa rapper wa kwanza kuwa bilionea, jarida la Forbes limemtaja msanii wa kike wa muziki Robyn Rihanna Fenty (Rihanna) kuwa msanii wa kike tajiri zaidi duniani Read more about Rihanna avunja rekodi