Ataka mahari za wanawake zishushwe

Wazazi Nchini wametakiwa kutowafanya watoto wao wa kike kuwa chanzo cha mapato, kwa kuwawekea kiwango kikubwa cha mahari pindi watakapokuwa wakihitaji kuolewa akidai kuwa suala hilo husababisha vikwazo kwa vijana wa kiume wanaotaka kuoa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS