Aliyemuua mwanafunzi ahukumiwa Humprey Makundi. Mahakama Kuu ya Tanzania imemhukumu kunyongwa hadi kufa aliyekuwa mlinzi wa shule ya Scolastica mkoani Kilimanjaro, Hamis Chacha kwa kosa la kumuua aliyekuwa mwanafunzi wa shule hiyo, Humprey Makundi. Read more about Aliyemuua mwanafunzi ahukumiwa