Waziri Mkuu atatua sintofahamu bei ya pamba Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema ana imani kuwa ununuzi wa zao la pamba utaanza mara moja kwa bei ya sh. 1,200 kwa kilo moja katika mikoa yote inayozalisha zao hilo. Read more about Waziri Mkuu atatua sintofahamu bei ya pamba