BAKWATA yatangaza tarehe ya sikukuu ya Idd BAKWATA Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) limetoa taarifa kuwa sikukuu ya Eid El Fitr itakuwa siku ya Jumatano, Juni 5 au Alhamisi, Juni 6, kutegemeana na kuandama kwa mwezi. Read more about BAKWATA yatangaza tarehe ya sikukuu ya Idd