Amber Lulu atoa tahadhari kwa producer
Baada ya Zest kusema kuwa hawezi kuwa na mahusiano ya kimapenzi na msanii na wa muziki wa Bongo fleva Amber Lulu, Msanii huyo amesema anashangaa sana kumuona Zest akizungumza maneno kama hayo wakati yeye anamchukulia kama kaka yake.