Mikoa minne nchini kupuliziwa dawa ya wadudu
Jiji la Dar na viunga vyake litaanza kupuliziwa dawa ya kuua wadudu (Biolarvicides) ikiwemo mbu pevu, ikiwa ni sehemu ya kupambana na ugonjwa wa homa ya dengue ambao hivi sasa ni tishio kwa wakazi wa Dar es Salaam.