Wakulima walalamikia bei ya muhogo

Wakulima wa zao la muhogo kutoka Wilaya za Kakonko, Kibondo na Kasulu mkoani Kigoma, wameiomba Serikali iwasaidie namna ya kupata soko la zao la muhogo kwa kile walichokieleza kwa sasa wanauza zao hilo kwa hasara.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS