Watanzania wahimizwa kuomba nafasi Simba Mtendaji Mkuu na Afisa Habari wa klabu ya Simba. Uongozi wa klabu ya Simba umesema kuwa hivi karibuni utatangaza nafasi mbalimbali za ajira ndani ya klabu hiyo. Read more about Watanzania wahimizwa kuomba nafasi Simba