Rais apiga marufuku picha zake kuwekwa ofisini

Rais wa Ukraine, Volodymyr Oleksandrovych Zelensky.

Rais mpya wa Ukraine, Volodymyr Oleksandrovych Zelensky amepiga marufuku picha yake kuwekwa kwenye ofisi za umma kwa kile alichodai kuwa Urais sio umaarufu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS