Mtanzania akamatwa na laini za simu 629 Naibu Waziri wa Mawasiliano Atashasta Nditiye Naibu Waziri wa Mawasiliano Atashasta Nditiye, amebainisha kuwa Wizara anayoiongoza inamshikilia mtu mmoja (jina halijatajwa), ambaye anatuhumiwa kumiliki laini za simu zinazokaribia 600. Read more about Mtanzania akamatwa na laini za simu 629