Mabadiliko ya 'Passport' kuanzia mwezi Julai Msemaji wa Idara ya Uhamiaji, Ally Mtanda. Idara ya Uhamiaji Tanzania imewataka Watanzania wanaotaka kusafiri nje ya nchi hivi karibuni kubadilisha hati zao za kusafiria kabla ya Julai 2019. Read more about Mabadiliko ya 'Passport' kuanzia mwezi Julai