Waziri atoa siri, Magufuli alivyopokelewa A.Kusini
Naibu Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Vijana na Watu wenye Ulemavu, Anthony Mavunde amebainisha kuwa Rais Magufuli ni miongoni mwa Marais ambao walipokelewa kwa shangwe kubwa sana, wakati akiwasili kwenye hafla ya kuapishwa kwa Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa,