Shule ya wasichana Ashira yaungua moto Ajali ya moto shule ya Ashira Marangu Moshi Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Mnghwira, ameeleza kuwa amepokea kwa masikitiko ajali ya moto iliyotokea leo Mei 23, 2019, kwenye shule ya sekondari ya wasichana ya Ashira iliyopo Marangu mkoani Kilimanjaro. Read more about Shule ya wasichana Ashira yaungua moto