Alikiba, Samatta watambiana kuelekea mechi yao
Nahoda wa Taifa Stars na mchezaji wa klabu ya KRC Genk, Mbwana Samatta na mfalme wa muziki wa Bongo Fleva, Alikiba wametambiana hadharani kuelekea mchezo wao ulio katika kampeni ijulikanayo kama 'NIFUATE'.