Licha ya ulinzi mkali, mahabusu 17 watoroka
Jumla ya watuhumiwa 17 wa makosa mbalimbali waliokuwa wamehifadhiwa kwenye ukumbi wa jengo jipya la Mahakama ya Mkoa wa Geita kusubiri mashauri yao kutajwa mahakamani, wametoroka katika mazingira ya kutatanisha.