Mbunge azungumzia presha ya Mnyika na Sugu 2020
Mbunge wa Serengeti (CCM) Rioba Chacha amesema kuwa kama ikitokea mtu yeyote anapingana na maono ya Baba wa taifa Mw. Julius Nyerere, basi atakuwa amelaaniwa hivyo kinachoendelea kwa kambi ya upinzani ni presha ya kukosa nafasi uchaguzi ujao wa 2020.