Gongo yaua mwalimu wa sekondari Ruvuma

Pombe aina ya gongo

Mwalimu wa Shule ya Sekondari ya Matemanga wilayani Tunduru mkoani Ruvuma, Hekima Gregory maarufu Mvomela(49), amefariki baada ya kunywa pombe ya kienyeji aina ya gongo pasipo kupata chakula.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS