Warriors wamlilia Kevin Durant, waahidi kumlinda
Zimebaki wiki kadhaa tu kabla ya mashindano ya mchezo wa Kikapu nchini, 'Bball Kings' yanayoandaliwa na East Africa Television yaanze kwa mwaka 2019, wakati huo Series ya fainali za NBA inaendelea na Warriors wanauguza majeraha ya Kevin Durant.