Mashabiki Simba, Kigoma, Dodoma na Tabora waitwa

Mashabiki Simba

Kuelekea mchezo wa Ligi kuu soka Tanzania bara kati ya Singida United dhidi ya Simba, msemaji wa Simba Haji Manara amewaalika mashabiki wa klabu hiyo katika mikoa ya kanda ya kati ili waje kushuhudia timu yao ikitwaa ubingwa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS