Kigogo CCM ataka kujiunga CHADEMA
Meya wa Manispaa ya Ubungo Boniface Jacob kutoka Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), amesema chama hicho kwa sasa kimetoa ruhusa ya kuwapokea baadhi ya waliokuwa wanachama na viongozi wake ambao walikihama chama hicho kuelekea vyama vingine ikiwemo CCM.