Faiza atangaza kuokoka, ataja chanzo

Faiza Ally.

Mwigizaji wa Bongo Movie, Faiza Ally ambaye ni mzazi mwenza wa Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi maarufu 'Sugu', amefunguka kuwa ameamua kuacha kila kitu na kufanya yale ya kumpendeza Mwenyezi Mungu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS