Membe adai yeye na Rostam ni watoto wa kambo
Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje katika awamu ya nne, Bernard Membe, amesema yeye na rafiki yake Rostam Aziz ni miongoni mwa watu ambao wanakasoro kwa kutumia kauli kuwa wamekatwa mkia bila ya kufafanua chochote.